Picha ya Rais maofisini

Picha ya Rais maofisini

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,883
Reaction score
13,621
Habar za muda huu ndugu wanabodi,
Naomba msaada wa kufahamishwa kwenye hili 'kwanini huwa kuna picha ya Rais kwenye ofisi za umma?'
Kazi ya picha hii ya Rais huwa nini hasa kwenye ofisi hizi za umma?
 
Sio za umma tu bali kwenye ofisi yoyote picha hiyo ni lazima

Sababu ni
1.kuonesha kiongozi wa nchi kuwa nchi inaongozwa na nani

2.kuonesha mamlaka (hii sina uhakika nayo sana)
 
Nashukuru sana Mkuu!
 
Ila awamu hii ofisi nyingi binafsi hazijaning'iniza picha ya raisi huyu wa sasa..
 
Back
Top Bottom