Ina maana kinachofundishwa Cambridge hakiko Necta?? Au ni malengo gani hayo mzazi anayalenga kuyapata Cambridge/Necta ambayo hayako upande mwingine wa mtaala??
Kwani Feza wanafundisha Cambridge???narudia tena! angalia syllabus ya NECTA & CAMBRIDGE .... "Google is ur best friend"
Nadhani waziri mwingine wa awamu ile Lazaro Nyalandu ndiye anasomesha watoto wawili Cambridge pale Brueburn Arusha.. Ada kwa mwaka kwa msingi si chini ya million 12narudia tena! angalia syllabus ya NECTA & CAMBRIDGE .... "Google is ur best friend"
Kwani Feza wanafundisha Cambridge???
Nadhani waziri mwingine wa awamu ile Lazaro Nyalandu ndiye anasomesha watoto wawili Cambridge pale Brueburn Arusha.. Ada kwa mwaka kwa msingi si chini ya million 12
Ni unafiki mkubwa sana anaounyesha Waziri Mwigulu kama ni kweli kwani akiwa kama Kiongozi ambaye anapaswa kuboresha maisha ya Mtanzania na hii ikiwa ni pamoja Elimu alipaswa awe mfano, kwa yeye kutokupeleka mtoto wake Shule ya Serikali in maana hana Imani na Shule za Serikali ambazo yeye amepewa jukumu la kuziboresha!Naunga mkono Hoja kwa 100%!
Ni wachache na sidhani kama huyo dogo anasoma Cambridgeyes ipo! kama ukitaka una option hiyo
Simpangii mtu wapi akasome ila at least wakubali kwamba huko wanakokimbia hakuna huduma bora zinazokidhi future za hao watoto wao...unajua mshahara wake kwa mwezi ni kiasi gani! je atachindwaje kulipa 12m kwa mwaka..?!
its all about malengo! huwezi mpangia mtu mwanaye akasome wapi .. ili iweje ?!
Hebu tuwe waungwana,tujaribu kufikiri kwa mapana zaidi:
Ni ni yupi mbunge ukiachilia mbali mbunge+waziri ambaye kwa mshahara anaolipwa ni ajabu sana akatumia kiasi kumpeleka mtoto wake shule ya gharama isiyofanana na shule za mtaani kwetu za elimu ya kayumba? Kumbuka huyu unayemshangaa kwamba kampeleka mtoto shule ya ghali ni waziri na ni mbunge kwamba anacho kipato cha kumtosha kumpeleka mtoto wake feza school hapa hamna ajapo yeyote ajabu ni Kama angempeleka shule za kawaida huku mtaani kwetu hapa tungemsema kwamba jamaa ni wa ajabu kweli yaani pamoja na mshahara mzuri anaopata ameshindwa kumpeleka mwanae shule yenye ubora kidogo. Nafikiri hapa tuache kumlaumu badala yake tuone kwamba amefanya matumizi sahihi ya pesa zake kwa kumsomesha mtoto wake kwani pia angeweza kuzitumia pesa hizo ktk matumizi ya anasa na mambo ambayo hayana tija kwa familia yake mwenyewe wala kwa taifa,pengine ungeongea naye angekuambia ni mambo mangapi ya anasa aliyoyakwepa ili tu aweze kukidhi gharama ya kumsomesha mtoto anaposoma ungeweza ama ukajihurumia kwa vurugu ufanyazo na pesa unayolipwa mwisho wa mwezi kitu ambacho ungeweza kukwepa uyafanyayo na gharama unayotumia ktk mambo yasiyokuwa na msingi ukaitumia kumpeleka mtoto kwenye elimu iliyo bora kidogo na pale alipo hata kama si feza school lakini kiwango cha juu tofauti na pale unapomsomesha kwa sasa na nafikiri unaweza kuona kwamba itawezekana kabisa kubadilisha ubora wa elimu apatayo mwanao
Na tusisahau ya kwamba mtoto huyo akielimika vizuri bado kizazi cha Tanzania kitamfaidi kwa siku za baadaye kwani atatumika vema pia ktk kulijenga Taifa hili hili siku zijazo
Huyu Mwiguli hawezi kumsomesha mtoto wake shule ambazo pengine Mimi na wewe tulisomeshwa na wazazi wetu kwa sababu ya uwezo wao wa kifedha uliowapelekea kutupeleka shule za elimu ambayo si bora na pengine shule zilezile tulizosoma mimi na pia aina ya shule hizo hizo alisoma Mwigulu lakini sote tulitamani sana kusoma shule za elimu iliyo bora zaidi Ila kikwazo ilikuwa ni uwezo wa wazazi wetu kifedha na ndiyo maana Leo hii kwa yeyote anayefanikiwa kimaisha miongoni mwetu basi akiwa ni mtu mwenye utashi na na mapenzi mema kwa familia na Taifa kwa ujumla atakichagulia kizazi chake sehemu yenye kutoa elimu bora pengine inayoendana na kipato chake
Kwa kifupi tu ni kwamba kwa yeyote atamsomesha mtoto pale anapomudu kulipia gharama na kufanya hivyo hakupwlekei mtu kupoteza sifa ya uzalendo kwa nchi
ktk hili sioni sababu ya yeye Mwigulu kulaumiwa na hasa ukizingatia ya kwamba tofauti na kuwa ni kiongozi yeye ni binadamu mwenye nyama na damu na zaidi pia mwenye kuitakia familia yake mapenzi mema.
Kkkkkk sowenyenye, wasinuka ? Jamuhuri ya watu wakodoraDuuuuu,solowenyo
Hii ngoja tuwaite wenyewe kina mkoloKkkkkk sowenyenye, wasinuka ? Jamuhuri ya watu wakodora
Wanashinikiza shule za serikali zifundishwe kwa kiswahili, za binafsi kwa kingereza. Ikijua kiswahili unakuwa na future nzuri kuliko kingereza.View attachment 321828
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha inayosomeka elimuniufunguo. Kikubwa kilichozua mjadala ni nembo katika fulana ya mtoto yenye maandishi ya FEZA SCHOOL.
Maswali na mijadala ya wengi ni kuwa,itakuwaje na moyo wa kuimarisha elimu ktk shule za umma kama sehemu ya mawaziri ambao ni watekelezaji wa sera ya Elimubure na Uboreshwaji wa elimu katika shule za umma wanakimbiza watoto wao katika shule binafsi? Kwanini Mawaziri ambao ni sehemu ya utekelezaji wa sera wanaoamini katika elimu bora katika shule za umma wao hawawapeleki watoto wao huko?
Picha hii imezua mijadala tofautitofauti na wapo wanoona Mh.Mwigulu yupo sahihi kupeleka watoto shule binafsi sababu ukweli ni kuwa shule za serikali elimu yao ni duni na isiyo na ushindani.
Hivyo mawaziri kuwapeleka watoto shule binafsi na zenye ubora kama FEZA SCHOOL ni kuwaepusha na elimu duni inayotolewa na serikali
ukijadili hoja kwa jicho la kimasikini jutaona kama amekosea, kusomesha mtoto katika shule za aina hii wazazi huzingatia mambo mengi ikiwa ni pamoja na usalama wa mtoto, malezi, na elimu bora.duniani kote matabaka hayakosekani.si dhambi mtumishi wa umma kumsomesha mtoto katika shule za hadhi ya juu na zinazo toza fedha nyingi.Hapo unashangaa mtoto kusoma shule hiyo ,je ungeona chakula chake kuanzia asubuhi mpaka usiku si ndio ungejinyonga kabisa!! wewe angalia utumishi wake kwa umma unaridhisha? basi.Aioseee kumbe wanatupiga changa la macho eeeghh? Ukiwaona wakiongea utadhani kweli
Nadhani suala kuu la uzi huu ni elimu bora kwa wote, serikali ikiboresha elimu bora kwa wote hakuna sababu kwa wananchi kupigia kelele elimu bora kwa wenye uwezo wa kusomesha watoto wao shule za binafsi.ukijadili hoja kwa jicho la kimasikini jutaona kama amekosea, kusomesha mtoto katika shule za aina hii wazazi huzingatia mambo mengi ikiwa ni pamoja na usalama wa mtoto, malezi, na elimu bora.duniani kote matabaka hayakosekani.si dhambi mtumishi wa umma kumsomesha mtoto katika shule za hadhi ya juu na zinazo toza fedha nyingi.Hapo unashangaa mtoto kusoma shule hiyo ,je ungeona chakula chake kuanzia asubuhi mpaka usiku si ndio ungejinyonga kabisa!! wewe angalia utumishi wake kwa umma unaridhisha? basi.
watanzania wengi wana angalia mambo kijamaa zaidi.Hata shule za serikali zikiboreshwa hadi kuwa kama zilivyo shule za ST MARYS bado kutakuwa na shule za watu wenye pesa mingi.Nenda Uingereza public schools ni nzuri lakini huwezi mkuta mtoto wa waziri yeyote anasoma kule.Nadhani suala kuu la uzi huu ni elimu bora kwa wote, serikali ikiboresha elimu bora kwa wote hakuna sababu kwa wananchi kupigia kelele elimu bora kwa wenye uwezo wa kusomesha watoto wao shule za binafsi.
Lakini hapa wadau wanaona mapungufu ya serikali kutotia mkazo wa elimu bora kwa shule wanazosoma watoto wa wazazi wa kawaida.
NYASI SCHOOL
Sasa mbona wameanza kukimbia kivuli chao?Waliahidi elimu bure sio elimu bora