Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

Mwigulu anaweza kulipa ada! Kwako ni most expensive, kwake ninreasonable price kwa quality of education!
Wapo wababa wanaokunywa Pombe kwa mwaka pesa nyingi kuliko ada ya Feza! Ktk maisha ñi kupanga priorities tu!

Shida anatuaminisha ni mtetezi wa wanyonge!
 
Mimi nafikiri tungepitisha sheria kuwa ukiwa kiongozi wa umma lazima watoto wako wasome shule za umma ili kama wanaona hazina ubora wangeziboresha maana wangejua wasipofanya hivyo na watoto wao pia watahathirika. Lakini kwa mtindo huu ni ngumu mno kwa viongozi kuboresha elimu maana haiwaathiri wao na familia zao.
 
Amkeni wazazi tuchangie maboresho ya Elimu, hakuna kilicho cha bure ktk ulimwengu wa leo, Mkiwasikiliza hao wanasiasa mtakuwa wapiga kura milele
 
Feza huingii kwa sababu ya cheo wala fedha za mzazi wako bali ni kichwa. Fuatilia utajua.
 
B
Shida anatuaminisha ni mtetezi wa wanyonge!
Bado anaweza kuwa mzalendo pamoja na kumsomesha mwanae Feza!
Feza ni shule ya watanzania, kwa uzalendo wake ameamua kutompeleka mwanae Kenya au mataifa mengine kutafuta elimu, ameamua mwanae asome hapahapa nchini ktk shule ya mlipa kodi wetu, huo pia ni uzalendo!
 

Mkubwa,
Yaani hapo umesema jambo ambalo viongozi na hata sisi wa-Tanzania tunashindwa kulipigania kuhusu elimu bora kwa wote (bila kujali kipato) hata kama kutakuwa na shule chache za binafsi.
 
Umesoma lugha gani hiyo? Nini maana ya bhasi?
 
Kuna haja ya kuweka kigezo cha kuwa mbunge lazma mwanao asome shule za serikali tena jimboni mwake kwenye katiba.
 
Amkeni wazazi tuchangie maboresho ya Elimu, hakuna kilicho cha bure ktk ulimwengu wa leo, Mkiwasikiliza hao wanasiasa mtakuwa wapiga kura milele
Mimi nipo hapa dodoma mkuu kwahiyo ushauri wako huu nami unanihusu?si unaijua dodoma kwa ccm?
 
TAJIRI NA MALI YAKE,Masikini na watoto
 
Mimi nipo hapa dodoma mkuu kwahiyo ushauri wako huu nami unanihusu?si unaijua dodoma kwa ccm?
Haswaaaa inakuhusu sana uwe mtu wa kwanza kuhamasisha watu wachangie kwenye elimu hata km mwalimu yupo mtaani kwenu mwenyewe uwezo mzuri mumugaramie afundishe watoto wenu, , Dodoma ndo makao makuu ya nchi lakini watu wake ni duni sana ktk kila nyanja (wala viwavi) : kwahiyo mnahitaji nguvu ya ziada kuleta mapindunzi (Ombaomba wao, viwavi wao, Ccm wao, jangwa wao)
 
inategemea unamalengo gani na mwanao ...

ndio maana kuna NECTA & CAMBRIDGE ...

Ni malengo ya mtu au mzazi kwa mwanaye
Ina maana kinachofundishwa Cambridge hakiko Necta?? Au ni malengo gani hayo mzazi anayalenga kuyapata Cambridge/Necta ambayo hayako upande mwingine wa mtaala??
 
Duuuuu,solowenyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…