PICHA YA MWEZI

Hiyo sura yake hata kama mtoto analia akimwona lazima anyamazee..
 
Kwa trump nakupinga ila kwa sizonje nakubali!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Mfuatilie kwa umakini utagundua hakujiandaa kuwa president. Kilichotokea ni kama kumtongoza demu mkali sana, ana kukubalia halafu kutokana na kutoamini kwamba umekubaliwa unakuwa na furaha sana kiasi kwamba unashindwa kupiga game, yaan mtarimbo unalala doro.πŸ˜›
 
Hahahahaa haya mkuu!! Ila ndio hivyo ni rais wa USA!!
 
We jamaa ni mbishi naunaonesha ulipata zero form four! Mtu aliepambana kwenye debate na watu kumi na saba, tena wenye uwezo mkubwa kama Ben Carson, Ted Cruz, Gov Bush Jr, Marco Rubio, John Cassic etc kwa mwaka mzima wanashindana na akawashinda! Akaja kupambana na Hillary ambaye ni mzoefu wa Washington politics kwa miaka mingi na akashinda bado unasema hakujiandaa? Ulitaka apake powder ndio uone amejiandaa? Mwaka 2012 Trump alkuwa tayari ameonesha nia ya kuutaka uraisi, nenda kaangalie speech take pale Liberty university lakini pia mwaka 78 alipokuwa anahojiwa na mwandishi wa habari aligusia kuhusu uraisi ana alisema akigombea atashinda! Amekuwa akiwasapoti reps candidates kuandia mitty Romney na wenzake kwa kutoa pesa na hata alikiri wakihitaji awasaidie kutoa speech yupo tayari. Acha kuwa mjinga kwa kubisha ukweli!
 
Hiyo ndio '' STRONGER AGAIN" aliyomaanisha kwenye kampeni
 
We jamaa ni mbishi naunaonesha ulipata zero form four! Mtu
Vyeti vyangu havina grade C. Ni A na B tu. Kuna A nyingi sana kiasi kwamba unaweza ukaimba pambio ya 'aaaaaaaaaaaaaab baaaaaaa'πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…