picha ya mh pinda

mukizahp2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
705
Reaction score
378
mtu yoyote anae pingana na sisi pigeni tu....mh pinda
 
Hahahahahaaaaaa ni hatari sana....ngoja niifanye ndii screensaver yangu....
 
hana lolote la utotoo wa UKULIMa ni jasusi namba wani huyo!
 
haina noma,sisi nasi tuchoke kuwapigia kura
 
tatizo la Mheshimiwa ni kueleza hisia zake binafsi pale anapoona mabo hayaendi vyema. Hakawii kushikwa na hisia kali. alitakiwa ajibu kama serikali, kama waziri mkuu, kama msimamizi wa sheria yeye akajibu kama Mizengo Kayanza Peter Pinda. kwa hisia kama hizo jibu lilikuwa sahihi kwa nafasi yake ameeleweka tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…