Picha ya leo

d tarimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
919
Reaction score
517
Mahaba kwa mh rais awamu ya 5
 

Attachments

  • 1444191180424.jpg
    42 KB · Views: 1,110
Dah rais asinyeshewe kweli lowasa ni mpango wa mungu hadi watoto??
 
Hii picha hatari..... Hao watoto nimewapenda bure aisee
 
Kuna bonus hapa!



Kweli nimeamini ni Kazi Tu!
Kura CHADEMA/LOWASSA!
 
Tunataka ushabiki wa kweli sio wa kijinga haya mahaba ya kids kwa mzee yanamsaidia nini?
Usjindi unapatikana kwa wafungaji sio washangiliaji.
 
Tunataka ushabiki wa kweli sio wa kijinga haya mahaba ya kids kwa mzee yanamsaidia nini?
Usjindi unapatikana kwa wafungaji sio washangiliaji.

hawa mnawabeba wanini acha kuweweseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…