Picha ya leo

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Hivi ndivyo embe huliwa, ki analogy zaid, hakun kisu wala kijiko. Chumvi tu mkonon.
 

Attachments

  • 1430159538983.jpg
    8.5 KB · Views: 497
Hivi ndivyo embe huliwa, ki analogy zaid, hakun kisu wala kijiko. Chumvi tu mkonon.

Nimeangalia hiyo picha nimejikuta naishia kucheka!! nikama nilikuwa namuona mhusika alivyokuwa analitafuna!
 
Nimeangalia hiyo picha nimejikuta naishia kucheka!! nikama nilikuwa namuona mhusika alivyokuwa analitafuna!

Hahah, kuna watu hawasikiii ganzi haya hale hvyo maemb 8
 
Aliekula hiyo embe fundi sana, kokwa la embe limekuwa safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…