Huyu si ndio yule waziri wa serikali ya DHAIFU anaeishi kwenye nyumba bila milango kwasababu ya imani za kishirikina!! Inawezekana mganga wake professa MajiMarefu kamwambia afanye hivyo kwenye hiyo number plate ili aweze kuchaguliwa tene kama mbunge wa Mvomelo!!!Hawa magamba ni washirikina mwisho na siku hizi wanafuga mpaka fisi kwani paka hawawafai tena!!