Picha ya leo

Teh Teh Teh

Mkuu hiyo picha yanikumbusha hiyo mifugo
 
Sn tu Mwanangu!

Mapinga pale Karibu na Kerege Nina mabanda yng ya kufugia Kuku! Nimewafuga sn! Ila Kwa sasa nimesimama kidogo!

Nakumbuka wakati niko mdogo, tulikua na kuku wa home ambayo na mimi nahusika nao maana wetu na kulikua na kuku wangu, hao hamna mtu anahusika ila ni mimi tu,
 
Nakumbuka wakati niko mdogo, tulikua na kuku wa home ambayo na mimi nahusika nao maana wetu na kulikua na kuku wangu, hao hamna mtu anahusika ila ni mimi tu,



Ujasiliamali mzuri sn Ingawa Kuku wakati mwingine ni risk sn
 
Mwili umenisisimka siamini ninachokiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…