Picha ya leo

Inatufundisha ni namna gani binadamu anavyopambana kuraisisha maisha yake!

Hivi sisi kweli kwa namna yoyote ile viongozi wetu wanatuonyesha namna ya kupambana ili kurahisisha maisha yetu? Mi naona wanapambana ili kurahisisha maisha yao tu.
 
leo nimewahi kutoka nyumbani, mama yako ashaamka?
mkuu ukiondoka nyumbani kwako usipende kuuliza mambo ya nyumbani!
Kwa mfano mtoto angekujibu kuwa mama bado amelala na baba mwingine,kazi zako ungeendelea nazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…