englibertm Picha ni nzuri sana. Ila binadamu ni kiumbe cha ajabu sana. Anatengeneza sumu (pesticide/insecticides) kupulizia mashambani na nyumbani, matokeo yake anaua "nyuki" halafu anatengeneza mapambo ya chuma na majani ya mfano wa nyuki. Ni sawa na wanaoua Tembo halafu wanachonga vinyago vya tembo kwenye pembe yake.