Picha ya leo

Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. kama Mikumi vileeeee
 
Kuna fulsa hapa bila shaka ni ile ya Mtoto wa Mkulima yaani unaweka mziga kwa ajili ya kuvuna asali
 
wakipata soko hawataonekana tena, huwezi kuamini nimepanda gari kutoka morogoro kupitia mikumi mpaka Iringa sikuona Tembo!
 
serikali haijawekeza vya kutosha kupambana na ujangiri achilia mbali mfumo wenyewe pia ndo unahusika kumaliza wanyama. wengine nadhani wanauawa kwenye vitalu vinavyomilikiwa na wawekezaji
 
serikali ipi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…