englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mchanganyiko wa hizo rangi za kijani imependeza kwa kweli...Lakini tatizo ya rangi kama hizi unazichoka haraka ndio maana watu wanapenda classic colours...
Halafu kule wenzetu wanabadilisha furnitures more often after some years sio kama sie furniture ni hizohizo for decades mpaka panya wanaweka makazi humo kula masponji na zitachanike lakini bado tunazo tu zinahamishiwa uwani!Mara nyingi watu wenye makazi bora kama haya huwa hawaishi humu, utaambiwa tu mwenye nyumba yupo ulaya , nyumba inatunzwa na house boy,,,
Mchanganyiko wa hizo rangi za kijani imependeza kwa kweli...Lakini tatizo ya rangi kama hizi unazichoka haraka ndio maana watu wanapenda classic colours...
Classic colors ni rangi ambazo zipo milde sio mcharuko na hazichoshi kwasababu always zipo trendy...mfano black,white/offwhite/cream or brown..
View attachment 114862
Huyu Mungu atatuhukumu sawa kweli?
Mchanganyiko wa hizo rangi za kijani imependeza kwa kweli...Lakini tatizo ya rangi kama hizi unazichoka haraka ndio maana watu wanapenda classic colours...
Huyu Mungu atatuhukumu sawa kweli?
Yah ...inavutia...Ila hiyo kijani iliyopoa imenivutia kwa kweli na nilishaiona mahali flani iko poa sana,.