picha ya leo


huu upumbavu wa sekta zetu huu........bango limechafuka hata huelewi nini kimeandikwa .....wao wanatizama tu.......dunia nzima inaona mlima mrefu Africa una bango limeoza........kwa asiejua ni urefu gani.....hapo kwenye 5895 mbele panasomekaje hapo........?
 
Preta:Nimeyapenda maoni yako....
 
Last edited by a moderator:

Sanamu kubwa ya Mkuu imeshaandaliwa kwa ajili ya kuwekwa hapo.
 
Kwa uchafuzi wetu wa mazingira, hata theluji ilishayeyuka, kumebaki kama kwenye kichuguu cha shambani kwetu tu.
 

si mpaka bunge lipitishe bajeti ya kukarabati ambapo tutaunda tume ambapo tutatenga bilioni 6 kwa ajili ya upembuzi yakinifu ama feasibility study
 

Preta taratibu, lugha kali umetumia! watoto tutaiga lugha kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…