picha ya leo

"wapigwe tu"

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForum
 
Kama vile anasema; MTAPIGWAAAA!!!! Ohooooooo!!!!
 
swali la kizushi ivi mke wa pinda anamwambiaga mume wake '' u a so handsome daling???????''
 
Mwenyewe anajihendsamisha hapo.. Naona pozi hilo alikuwa anawekewa Tunu lol..
 
kama na roho yake ipo hivi tuna hali mbaya.
 
Manake tumechoka!!! eee, wapigwe tu!!!
 
Naisi madada zangu mnatamania kama ndio mngekua tunu nyie duu kweli kazi
 
Nimeanza kuamini maneno ya Mama yangu, hata sura yako inaonesha ni Jinsi gani ulivyo na roho nzuri au mbaya, rejea Pinda, Wasira, Mahita, Idd Amini, Makamba, endelea
 
Mhh heri mimi sijasema maana! Jamani hakujiumba aliumbwa mbona tunamkufuru Mungu kwa kazi yake jaman?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…