Picha ya leo!

picha inaonyesha mtu kavaa mavazi meupe huku akiwa eneo linalofanana na bar akicheza pooltable
 
Alaf ooh! Msichele pool table wakat watu tunaongeza vipato
 
wapo jamaa wa kanisa Fulani hapo tabata huvaa mavazi ya namna hii.
 
Hiyo picha ukiisachi google inakuambia ni ya mwaka 2014.
 
Una search vipi mkuu naomba maujanja kiongozi.

Thanks.
Mi natumia komputer nikiipeleka mausi yangu kwenye picha niki-click inanipa machaguo,sasa sijui kwa wenye cm inakuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…