Picha ya leo

Trafiki kavaa kile kijaketi chenye reflector kimeandikwa PLUMBER
Halafu mkono wa kulia upo kwenye simu , wakushoto upo lushoto nadhani kuna kitu maana hata hio suruali yake ina onekana kuelekea upande mmoja.. Ni lazima kuna kitu tu... Kwenye hio blackberry yake
 
Labda jamaa kabadilishiwa kimyakimya.akajua ni kilekile kikoti chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…