picha ya kusikitisha..

kweli inasikitisha,wanawake kwanini mnawafanya hivi watoto wa wenzenu?????
Sasa me asipokula pesa yake na ke sasa ale na nani? Ndiyo maana Mungu aliumba mwanaume na mwanamke laa angeumba wanaume tupu sasa mngeishi vipi?[emoji127] [emoji127] [emoji127]
 
ATM Card ni personal ,unless kama ni account ya familia,Otherwise mtagombana tu,,,,,,,
 
R U unazani sikujui mfyuuuuu
Haha wewe kumbe unakomaa na Id.

ID ya Raphael wa Ureno NI YANGU Na Baada ya Ban sikutaka kupigia mod magoti ili ifunguliwe.

Mbao za Mawe ni Id yangu, Pia Id nyingine ambazo hamjazijua.

Kuna lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…