picha ya kusikitisha..

Waache wenye nazo wawamilikishe wapenzi wao maduka ya hela (ATM).
 
Hapo unatimia msemo wa hela ni shetani na shetani mwenyewe ni mwanamke(utani bwana)
 
vyuma chakavu vimeenda kulainishwa kwa ajili ya kazi new
 
kweli inasikitisha,wanawake kwanini mnawafanya hivi watoto wa wenzenu?????
 
Chake cha kwake, changu chetu sote.

Caption😀😀
 
Basi mie nimeona tofauti. baada tuu ya kuona hiyo picha nimeona kuwa hapo wenye hizo bank account cards ni wanawake aidha wanawahonga wapenzi wo au wanawaonesha kuwa nakupenda boo twende kwwne ATM nikupe hela halafu tkifika nyumbani ufanye kazi kwa bidii..... pesa ipo....
 
Vice versa is true unless you are basing on that 1% of women wanaojielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…