Picha ya kufungia mwaka 2011 - Warembo mauaaa

mavi matupu!!!!!!!!!!!!
 
wewe vigoti vyako vyeupee??/

Samahani kama nimekukwaza, sikujua kama kuna shem hapo. Mimi magoti yangu ni meusi zaid, ndo maana siyaonyeshi hovyo, hawa kina dada wameanika vigoti vyao na hivyo wanastahili kutathminiwa. Kama tunawapenda dada zetu basi tukemee hii tabia ya kujianika kama wapo mnadani. Mara vitovu, manyonyo nje n.k. maana mwanamke hawezi kukombolewa kwa mwili wake bali kwa kilichopo kichwani na moyoni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…