Picha ya kijasiri

Wanaitwa nyatimaji hata kwenye ranchi zetu wapo wanafugwa na kukamuliwa.

Kuna nyati kichaa wale AKA mbogo. ..
 
Angefanya hivyo kwa koboko...au kwa chui ndio angekuwa mjasiri hasa....
 
Hawa in mbogo wa India wapole saaana hawana madhara
 
sijaona ujasiri wowote...

au alimaanisha picha ya kijasiliamali!
 
Watu Bwana waajabu ujasili gani hapo labda kutembea uchi
 
Haa huyo mmoja mbona kama nyati[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…