Picha Ya Ijumaa

Aksant na jazakallah na hapo naona anatuombea saadaka ya ijumaa maana tuko hoi ben taban wal hamdullaahi
 
Bodyguard ni Simon Petro nini?Mbona hayupo hapo nyuma?
 
Wanamtamani wamle tgo!

Ndugu hata kama ni chuki iwe na kiwango hapa umepitiliza na sio sahihi na hata kama ukitafutwa na ukakamatwa na kushitakiwa si mkeo wala ndugu zako watakaokutetea wakijua ulichokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…