Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,741
View attachment 92673
Jamani karibuni sana msosi wa leo Bukoba hapa......Mayai, Nsholo, Samamki, Senene na Ndizi we acha tuu
Hayo mayai yalitakiwa yawe ya kuku wa kienyeji.
Aaah! nsenene.
Huo ni mlo wa watu wangapi?
Mbona havijapikwa ?