Picha: Unyanyasaji wa wanawake wilayani Meatu

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Unyanyasaji dhidi ya wanawake wilayani Meatu unaendelea kuongezeka kwa kasi, kama inavyoonekana kwenye picha.

IMG_0731.JPG


Mwanamke huyu alikuwa anapokea kichapo kutoka kwa wanaume. Hizo fimbo ni maalum kwa ajili ya kutandika wanawake.

IMG_0735.JPG


Unyanyasaji wa wanawake unaojulikana kwa jina la Magoye. Wanaume hap pichani wanaonekana kuongea na binti lakini pia baada ya hapo asiposikiliza anaangushiwa bakora hizo walizozishika. Chanzo: http://simiyuyetu.blogspot.co.uk/2012/10/inasikitisha-unyanyasaji-dhidi-ya.html#_

Nicas Mtei hii wilaya uliyonipangia nimeishindwa. Noamba uhamisho. Labda Kongosho ataiweza
 
Hiyo inaitwa chagulaga, sie mheshimiwa liwalo na liwe alipiga marufuku hii kitu kufanyike kule Katavi maeneo ya Mpimbwe waliko wasukuma wengi
 
mmh, labda alikuwa disco.

Ngoja wampeleke Mwali huko, mie nimeolewa lol
 
Last edited by a moderator:
Mbona wanatabasamu kama kweli wanampiga? Nadhani wapo katika utani flani hivi, au wanacheza aina flani ya ngoma ya asili! Nipo tayari kusahiohishwa kama sitakuwa sahihi!
 
Back
Top Bottom