wewe nawe akili kama william malecela......unajua umeandika nini bongolala wewe? yaani wabongo bana???Mi sielewi..ishu ya wazanzibari ni serikali yao au ni wakristo?? kwanini wasiende ikulu yao wakaandamane huko..wakristo sio wanaowanyima uhuru wa nchi yao
kama mwandishi basi wewe hamnazo kabisa.....hiyo picha sio ya tukio lile bwegge wewe.....na mhariri wako bwegge vile vile....fanyeni utafiti mabwegge nyie......watu mtaani sasa hivi wajua hiyo picha ni ya vurugu za zanzibar wakati sio mabwegge nyie......Kwa hiyo unataka kuwafundisha waandishi.
kuhusu picha waliotoa kurasa za mbele za magazeti mengi kwamba imebuniwa na sio ya tukio halisi.
picha hiyo ni ya tukio la Morogoro na sio Zanzibar. hii itasaidia kujenga heshima kwa maagzeti ambayo ni wazi yanapotosha jamii
Issue sio kuwafundisha waandishi........Kwa hiyo unataka kuwafundisha waandishi.
kazeti gani, mkuu wangu?
Sema ni gazeti lipi, na ikiwezekana weka hiyo picha hapa. Hebu uwe wazi, sio na wewe unakuja na mambo yako ambayo hayajakamilika. Unakuwa bado unafanana na hao unaowashutumu.kuhusu picha waliotoa kurasa za mbele za magazeti mengi kwamba imebuniwa na sio ya tukio halisi.
picha hiyo ni ya tukio la Morogoro na sio Zanzibar. hii itasaidia kujenga heshima kwa maagzeti ambayo ni wazi yanapotosha jamii
hii picha hata michuzi aliweka later akaibandua......waandishi wa kibongo hamnazo kabisa...ndio maana mkapa aliwatolea mbovu...wewe si unaonaga hata wakimhoji kiongozi maswali yao......Issue sio kuwafundisha waandishi........
issue hapa nimatumizi ya picha isiyokuwa ya tukio husika.......wameiokota kwenye blogs, ina maana hakuna chombo chochote cha habari kilichoweza kupiga picha?
Picha halisi ingetoka wapi; hivi unaweza kumpiga picha mwizi tena usoni akakuangangalia tu?
Huyo kapaka damu ya paka, ndio maana hana oga na virusi. Hata hivyo hana woga na kufa, maana muda wowote anaweza kujitolea muhanga.Aliyeshika hicho kitambaa cha damu mbona hajavaa gloves; haogopi kuambukizwa virus?