Picha: Umakini unahitajika

Barakoa 001

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
5,434
Reaction score
14,889
Nilipoiona nilistuka, nikadhani ndugu zetu wa kijapani wameamua kuanza ujasiliamali kwa njia nyingine nchini kwetu.
 

Attachments

  • 1425714119336.jpg
    61.2 KB · Views: 618
Kama Mimi tu, ngoja aje atudadavulie.
Nadhani mleta mada anamaanisha jinsi neno TOYOTA lilivyofuatiwa na neno SECURITY na kuonekana kama ni jina la kampuni ya ulinzi iitwayo TOYOTA SECURITY. Ingependeza zaidi mleta mada wakati anaweka picha angeweka na maelezo yanayojitosheleza ili kueleweka kwa wote.
 
Nadhani mleta mada anamaanisha jinsi neno TOYOTA lilivyofuatiwa na neno SECURITY na kuonekana kama ni jina la kampuni ya ulinzi iitwayo TOYOTA SECURITY. Ingependeza zaidi mleta mada wakati anaweka picha angeweka na maelezo ili kueleweka kwa wote.

Thanks, nimeelewa.
 
Mleta mada alipoona hilo gari alistuka akidhani kampuni ya Toyota iliyo Japan imekuja kuwekeza kwenye sekta ya ulinzi yenye jina Toyota security, hivyo akasema umakini unahitajika kidogo kujua ni vitu viwili tofauti....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…