PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

Rais Jakaya kikwete ametembelea makanisa yote matatu yaliyoharibiwa ijumaa.

Hii ni hatua muhimu na ya busara kutoka kwa rais, wakati huwa sikubaliani nae kwenye mambo mengi, kwa hili naomba nimpongeze, sio tu ametoa ujumbe mzito kwa redio imaan, bwana ponda na radicals wengine lakini pia amepeleka ujumbe kwa jamii nzima kwamba anajali na hayuko tayari kuwekwa kwenye fikira ndogo za udini. . HONGERA RAIS, umeonesha njia tena kwa vitendo
.

Kitu kingine muhimu ni kwamba ameahidi wote waliofanya upuuzi ule watakamatwa na watachukuliwa hatua
 
hapo ni kupoza upepo tu ! hivi redio imani ni ya kupewa onyo au kufungiwa mazima? hivi kwa uchochezi wa ponda ni wa kukemewa tu bila hatua za kisheria? udini aliupandikiza yeye wakati wa kampeni za 2010 sasa mambo yameanza kuchemka anahofu na bado!!
 

Ni ujumbe muhimu sana hata kama wengine watakuona mwehu,mtu wa kisasi na hata mjinga! Yaliyotokea juzi Mbagala ni mwanzo wa msimu wa mavuno na chuki ambazo zimekemewa sana hapa,lakini wahusika wamenyamazia! Juzi yamechomwa makanisa,tunakoelekea wakristo mtakatwa mapanga,mtapigwa kwa nondo,mtachomewa nyumbani zenu,magari yenu na mali zenu za thamani,mkifikishwa hapo ndipo mtatambua kwamba dawa ya moto ni moto wala siyo kusali!
 
Bado sitaamini kauli zake mpaka atakapokuwa amewakamata wahalifu na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria. Hii inaweza kuwa "show" kama nyingine. Wako wapi wana-CCM wauaji wa kada wa CDM waliokamatwa na kuwekwa mahabusu Arusha. Si wameachiwa juzi kwa visingizio kwamba wamewatoroka polisi?

Haha, ilitangazwa kwamba watakaogomea sensa na/au kuwashawishi wengine kugoma watakamatwa na kuchukuliwa hatu. Kweli wakakamatwa (ingawa walikuwa wachache ikilinganishwa na idadi halisi ya waliogoma). Lakini baada ya waislamu kukusanyika wizarani wakitaka wale wahalifu waachiwe wakaachiwa. Nani alikuwa amefuta sheria iliyofanya wakamatwe?

Zaidi ya hapo, uhalifu wa Mbagala, ni matokeo ya udini ambao umepandikizwa na Kikwete mwenyewe na CCM yake kwa maslahi ya kisiasa hasa kwenye kampeni 2010. Ametangaza kujutia hilo? Hii redio Imaan haikuanza leo uchochezi wa kidini alikuwa amesubiri nini kuichukulia hatua. Na hivi ameongea tu, hajawachukulia hatu yoyote!!!! Sina imani naye bado.
 
tatizo ni kuwa hakuna mtu mwenye imani na ahadi za kikwete, he is not serious! ni mlalamishi tu na kutaka kuonewa huruma!

unajua hizi comments baadhi zinanichanganya juzi baada ya tukio na mtu alitoa ombi kwamba Raisi atoe tamko, sasa leo ametembelea na ametoa tamko bado lawama zipo pale pale, sasa labda nani anaweza akatoa tamko ambalo litamridhisha kila mtu?
 
Atakuwa anaongea hivyo ila behind ze scene simwamini kabisa.....
 
unajua hizi comments baadhi zinanichanganya juzi baada ya tukio na mtu alitoa ombi kwamba Raisi atoe tamko, sasa leo ametembelea na ametoa tamko bado lawama zipo pale pale, sasa labda nani anaweza akatoa tamko ambalo litamridhisha kila mtu?

Nafikiri kaonyesha nia
 

mkuu huyo ni msaaniii tu,yeye ndiye aliyeanzisha mambo hayo kwenye kampeni zake mwaka
2010 baada ya kuona hakubaliki akaanzisha propaganda,lakini tutafika,umemsifia sana kwa sababu ameonekana tu kwenye eneo la tukio vipi yale ya zanzibar itafika mahali watu watachoka!!!!
 
Serikali inapasa kuwafidia haya makanisa maana walipanda mbegu za udini na sasa wanavuna matunda
 
Uzuri ukikaa sana kwenye siasa YOU LEARN TO DO WHAT YOU ARE EXPECTED TO DO AS LONG AS YOU DO IT IT MAKES EVERY ONE HAPPY!!!!! Alijua tu kuwa baada ya ule mtiti watu mnategemea ataenda nae kaja. HAKUNA LA AJABU HAPO!!!!
 
dini ya polisi ni ileile ya waliochoma makanisa kwani hujui rpc na igp ni akina nani?
 
[Polisi walishindwa vipi kumvunja mguu hat a mhalifu mmoja kama waliweza kumuua Mwangosi ambaye hakuwa mhalifu?]


Dd​Duh!!hii point
 
unajua hizi comments baadhi zinanichanganya juzi baada ya tukio na mtu alitoa ombi kwamba raisi atoe tamko, sasa leo ametembelea na ametoa tamko bado lawama zipo pale pale, sasa labda nani anaweza akatoa tamko ambalo litamridhisha kila mtu?
dokta silaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…