Wewe naye hebu nitolee bangi zako hapa.Nimeuliza tu kama ulikua na jibu ungejibu ndio au hapana.
Hizi blah blah zako peleka kwa wanywa gongo wenzio pimbi wewe.
Jamani tuambiane ukweli wanaume..mizigo kama hiyo matumizi yake halisi ni yapi? tukienda under the assumption kuwa kila kiungo kina matumizi yake kunako 6 x 6?
Kijijini kwetu kuna mdada huyo amabaye ana mzigo balaa...na hajui habari ya mchina wala kipodozi cha kemikali..anatumia "magwanji" (sabuni ya magadi) tu!!!!
Then muulize mtu yeyote aliyefanya field au muajiliwa wa TRA Samora akupe habari ya mwa-field mmoja hapo wa 2013..mtoto mdogo wa kichagga tena msabato na unawajua SDA walivyokuwa allergic na mapodozi ya ajabu ajabu