Picha : Siku huyu Mbunge aliyewahi kuwa Waziri alipothibitisha hana Akili Nzuri amekosa Busara..

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Akili wakati flani inakuwa na Muunganiko wa mambo mengi sana. Busara na Hekima ni kama huingia kiasi flani katika akili.
Screenshot_20190924-150234~2.png


Uamuzi sahihi wa kufanya jambo sahihi na kwa wakati sahihi. Nyanya ni tunda.lakini sidhani kama umewahi ona limechanganywa kwenye fruits salad. Sasa ukiona mtu amekata kata nyanya akachanganya na ndizi na tikiti maji akakuletea kuwa ni fruits salad basi utagundua ana tatizo kubwa kiakili.

Nlishangaa siku namwona nape anatembea huku amevaa viatu juu ya viuno na migongo ya akina mama wapuuzi wa huko jimboni mwake.

Angekuwa na akili au busara angegoma na kusema hapana.siwezi kufanya hivyo maana nawaheshimu saba ninyi dada,shangazi na mama zangu.si vyema hata kidogo.

Lakini kwa kiwango kikubwa cha ujuha alicho nacho hakuweza kupembua madhara ya kitendo kile.na wale wanawake wapumbavu ingetokea mimi ni mkazi wa eneo hilo na mke wangu amefanya kitendo hicho. Ngemtwanga talaka tano hapo hapo.

Ngegundua nmeoa mwanamke mpumbavu kabisa asiyefaa.hana akili na hajiheshimu. Watu hili hawakutaka kuliona. Walimwona kama shujaa wao na mtu anayewafaa." Nape hakuwahi kuwa na akili na hatoanza sasa"
 
Hao wanawake wameolewa kweli??

Mwanamke mzima umelaza matako hadharani!???

Doohh!
 
Haa
Mimi naye ningekanyaga tu bora nionekane sina akili.

Kati ya hao wawili nani ambaye akili yake haipo? Umelaza mwili wako mtu akanyage kwa mapenzi yako mwenyewe nitaanza vipi kukataa.

Kanyaga kanyaga.
Haaaaaa tumwulize akili ni nn
 
Am not a big fan of Nape, haswa baada ya kuonyesha ngaziyake ya immaturity baada ya kutumbuliwa. Ila kwa hili, as much as it might be political (naamini walilipwa), ila ni kitu kinachoenda sambamba na tamaduni zao huko kusini.
 
Back
Top Bottom