Hizi ndiyo akili za CCM, wenyewe wanaamini Tanzania ni mali yao. Wanasahau kwamba Tanzania ni ya watanzania na wanachadema ni ni watanzania. Akili fyatu kama zenu CCM alikuwa nazo pia Ghadafi, na mwisho wa siku ndiyo vile wenye nchi walimchinja kama kuku. Kama hamtataka kutoka kwa democrasia basi tutawatoa kwa nguvu.nchi ya watanzania hawatapewa wahuni walioko marekani na kwingineko kisa diaspora
r.i.p cdm -------viva ccm
kwenye high tebo watu watano kwa wajumbe mtu mmoja. kweli sherehe ilifana, hapo chupa mbili za wine na viroba
Hizi ndiyo akili za CCM, wenyewe wanaamini Tanzania ni mali yao. Wanasahau kwamba Tanzania ni ya watanzania na wanachadema ni ni watanzania. Akili fyatu kama zenu CCM alikuwa nazo pia Ghadafi, na mwisho wa siku ndiyo vile wenye nchi walimchinja kama kuku. Kama hamtataka kutoka kwa democrasia basi tutawatoa kwa nguvu.
Hakuna chama wala mtu mwenye hatimiliki ya ardhi ya Tanzania na watu wake. Tanzania ni ya watanzania wote, awe diaspora au katavi, au Singida au kagongwa kule Shinyanga, au Ibumila kule njombe na hata mloganzila, wote wana haki sawa ya kuongoza nchi. So shut up your mouth.
Technical knockout ya umilki wa kadi mbili na kila mmoja kudai kuwa na sifa za urais, majimbo ,ukabila zimeimaliza cdm ya rabi!
Diaspora wapi?
halafu mbona watu wenyewe sita tu?
Nice hat Jas....
Diaspora wapi?
halafu mbona watu wenyewe sita tu?