Picha, Sekeseke la Tandahimba


KAENDA KUNUNUA JEZI KWA MAXIMO

 
Nafurahi sana kuona hatimaye watu wa kusini wameona dhuluma ya ccm na kuamua kuchukua sheria mkononi bila hivi ccm huwa hawaelewi kitu
 
Hii serikali ni legelege sana, inashughulikia matatizo ya wananchi polepole sana mpaka wananchi wanaishiwa uvumilivu.
 
Huko tuendako, wakulima na wafanyakazi wa ngazi ya chini wanaodhulumia hata kile kidogo wanachodhani wanacho, ndio watakaobadilisha utawala wa kibabe wa nchi hii. Nimeona mawaziri wanavyojibu maswali kwa jazba jana katika bunge, utadhani wanawajibika. Nashangaa kwa nini mpaka sasa Prof. Juma4 Maghembe hajajiuzulu kwa uzembe huu wa kutolipa wakulima wa korosho
 
Kama imefikia mahali hata wakulima wanajua kwamba mabomu yapo muda wowote na wanayakaribisaha.nchi imekaribia kuiva.
 
Mafisadi hawana huruma hivi kweli watu maskini kama hawa unakwenda kuwakopa halafu kuwalipa shida.ilihali wakuylima masikini wanali njaa wao kilasiku nje ya nchi
 
Mkuu asante kwa picha. Magamba wangekuwa na akili wangesoma alama za nyakati kupitia clue ndogo ndogo kama hizi. Lakini ah wapi watasema ni wahuni wachache.
 
Magamba yamezoea kushibisha matumbo yao kupitia wanyonge,mbona posho zao hawajicheleweshei? Big up wana Tandahimba mnazidi kuonesha njia ya M4C!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…