Prof Lipumba, leo amefanya mkutano mkubwa lindi.
Ame sisitiza wana lindi wasiichague ccm, kwasababu ccm ndio chanzo kwa watu wa kusini kuwa masikini...
Prof amesisitiza wana lindi kuchagua vyama vinavyo unda ukawa kama mbadala wa ccm....
Amesisitiza hakuna kukubali kuibiwa kura tena, malizaneni na wezi wa kura ktk vituo vya kupigia kura na wala sio mahakamani....
Mabadiliko kwa sasa ni lazima kwa maslhi nchi yetu...
Na ccm ni janga la kitaifa.
#UKAWA NDIO MPANGO MZIMA.

Hayo yameshafanyiwa kazi. Jinsi watu walivyo na kiu ya mabadiliko hawatajali nani anashinda alimradi asiwe ccm tu basi. Nimeliona live leo huku Nzasa leo nikashangaa sana.mimi na wasiwasi na ukawa itakapokuja swala la kusimamisha mgombea mmoja,mmoja naona watashindwana tu
Prof Lipumba, leo amefanya mkutano mkubwa lindi.
Ame sisitiza wana lindi wasiichague ccm, kwasababu ccm ndio chanzo kwa watu wa kusini kuwa masikini...
Prof amesisitiza wana lindi kuchagua vyama vinavyo unda ukawa kama mbadala wa ccm....
Amesisitiza hakuna kukubali kuibiwa kura tena, malizaneni na wezi wa kura ktk vituo vya kupigia kura na wala sio mahakamani....
Mabadiliko kwa sasa ni lazima kwa maslhi nchi yetu...
Na ccm ni janga la kitaifa.
#UKAWA NDIO MPANGO MZIMA.
Wapuuzi kweli CCM wanakuoneni wajinga hamna akili elimu ndogo mwisho wa siku mnakosa kura
Ndio maana nimeona Nape akitoa povu kuhusu Lipumba, kumbe ameona moto wake.
Mbona sioni bendera ya CUF..?
View attachment 203952
Alianguka Iringa wakati anacheza mpira na wananchi wa huko wakati akiwa kwenye ziara kama za huko Lindi.Mbona alikuwa kafunga bendeji mkononi? keshapata kifafa nini?