Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,395 Reaction score 13,266 Jul 11, 2015 #1 Mzee angeweza kuinuka na kumnasa kibao huyu dogo Afadhali tumekosa wote mshikaji maana nilitaka kulianzisha. Kesho ningeenda zangu kwa Yuda! Ongezea nyingine ....
Mzee angeweza kuinuka na kumnasa kibao huyu dogo Afadhali tumekosa wote mshikaji maana nilitaka kulianzisha. Kesho ningeenda zangu kwa Yuda! Ongezea nyingine ....
Lizaboni JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 33,901 Reaction score 20,410 Jul 11, 2015 #2 Tehetehetehe
Ndesalee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 1,092 Reaction score 522 Jul 11, 2015 #3 Teh teh teh teh. Hawa kweli ni best looser..
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,997 Reaction score 2,577 Jul 11, 2015 #5 ile ziara ya Kinana na Nape kanda ya ziwa ilikuwa na majibu haya.
SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,901 Jul 11, 2015 #6 Ugonjwa wa Lowassa umeisha ghafla? Siasa noma sana.
mgosi9 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,581 Reaction score 261 Jul 11, 2015 #7 kidaganda said: ile ziara ya Kinana na Nape kanda ya ziwa ilikuwa na majibu haya. Click to expand... Kama vile nimekuelewa vizuri.
kidaganda said: ile ziara ya Kinana na Nape kanda ya ziwa ilikuwa na majibu haya. Click to expand... Kama vile nimekuelewa vizuri.
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,836 Reaction score 6,281 Jul 11, 2015 #8 Amaa kweli
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 510 Jul 11, 2015 #9 teh teh ila u-best looser unauma
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jul 12, 2015 #10 hiyo picha ya pili ndo yenyewe hahahaha
The master JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 289 Reaction score 196 Jul 12, 2015 #12 Dah! Ama kweli....
K Kamuzu JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 993 Reaction score 309 Jul 12, 2015 #13 Unafiki wa kisiasa, ni wachache sana wanauweza, na wengine wanalazimishwa tu.
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,138 Reaction score 7,398 Jul 12, 2015 #14 Ila Nape..ana siri nzito za chama maana uropokaji ule sio hivihivi
Michael Mtitu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 693 Reaction score 512 Jul 12, 2015 #15 Tunaweza tukawa tunafanya utani kumbe watu ni wagonjwa jamani. Wenzangu hiyo facial expression ya picha hiyo ya kwanza mnaionaje!
Tunaweza tukawa tunafanya utani kumbe watu ni wagonjwa jamani. Wenzangu hiyo facial expression ya picha hiyo ya kwanza mnaionaje!
H H20 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2013 Posts 341 Reaction score 170 Jul 12, 2015 #16 Hii ni kwa Africa tu pale mahasimu wanapoweza kusalimiana na kushikana mikono huku wakitabasamu. Ulaya hata protokali za jinsi ya kukaa mnatengwa mbali kabisa. Kweli waafrika tuna asili yetu.
Hii ni kwa Africa tu pale mahasimu wanapoweza kusalimiana na kushikana mikono huku wakitabasamu. Ulaya hata protokali za jinsi ya kukaa mnatengwa mbali kabisa. Kweli waafrika tuna asili yetu.