Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo ni master room. Pia nyumba ina
seating room
dinning room
choo
na jiko
ZINGATIA
Nyumba hii bado haijamariza ujenzi. Bado umaliziaji tu. Makalo ya maji taka yamekamilika. Choo cha public tayari kipo na Sink. Bati ni za rangi ya blue zimeshawekwa. Milango mikuu yote imeshawekwa mageti. Baadhi ya milango ya ndani tayari imeshawekwa fremu.
Upatikanaji wa maji ni wa uhakika
Umeme haupo mbali kabisa
Gari inafika hadi ilipo nyumba pasipo shida yoyote.
Nyumba ipo Kivule ( Gongo la mboto )
Bei Milion 22 ( maongezi yapo )
Kwa aliyeinterested tuwasiliane kwa 0715553166