PICHA: Nyumba hii inauzwa

PICHA: Nyumba hii inauzwa

Kaka maisha ni kupanda na kushuka. Na wakati mwingine mipango ya mtu huenda tofauti na vile alivyopanga. Nyumba yangu naiuza siyo kwa kupenda bari ni shida tu. Nahitaji kiasi fulani cha pesa haraka. Na hii siyo nyumba ya urithi. Hii ni nyumba ambayo nimejenga mimi na mke wangu na leo kwa pamoja tumeamua kuuza. Atakaye afiki kutoa hiyo milion 22 hata kesho tu namuuzia nyumba na atanikumbuka naamini. 0715553166

Acheni usanii Bandugu. Hii number nilipga mpokeaji mwanaueme anadai nyumba ni ya ndugu yake ndiye anaeuza. nimeipiga mara ya pili amepokea mwanamke na kudai mwene simu kaacha simucharge ni dada mtu.nikauliza kama kuna nyumba inauzwa nikajibiwa ndio na ni ya ndugu mwenye number hiyo hapo juu. nikaomba number ya mwenye nyumba nikaambiasiwzi kupata.

Hii hii nyumba imebandikwa instagram na dalalikingozi kwa bei ya 30milion

grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Mjini hapo kuna kaharufu ka utapeli
 
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo ni master room. Pia nyumba ina
seating room
dinning room
choo
na jiko
1606394_360826484070347_8533907544381915274_o.jpg

10515239_360826490737013_55362040138706646_o.jpg

10557760_360827367403592_4380606652481925387_o.jpg

10628817_360826487403680_6459898587405204590_o.jpg

10603833_360827370736925_1336970994645323708_o.jpg

ZINGATIA
Nyumba hii bado haijamariza ujenzi. Bado umaliziaji tu. Makalo ya maji taka yamekamilika. Choo cha public tayari kipo na Sink. Bati ni za rangi ya blue zimeshawekwa. Milango mikuu yote imeshawekwa mageti. Baadhi ya milango ya ndani tayari imeshawekwa fremu.

Upatikanaji wa maji ni wa uhakika
Umeme haupo mbali kabisa
Gari inafika hadi ilipo nyumba pasipo shida yoyote.

Nyumba ipo Kivule ( Gongo la mboto )

Bei Milion 22 ( maongezi yapo )
Kwa aliyeinterested tuwasiliane kwa 0715553166

I tried t call you guys over the weekend but you were always not reachable guys
 
Kiwanja kina hati??????
Imezindikwa?????

Kuna watu huzindika nyumba zao, mapepo yakianza kuwatesa hukimbilia kuziuza kwa bei ya hasara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom