Kama njaa imebisha hodi mbugani ujue hali ni tete, wanyama wakifa hakuna watalii tena.
Maombi yanaitajika kama taifa,Nyati nao wanakufa kwa njaa na kiu"Ukame"Mungu atusaidie.
Hahaaaahaaahhuyu ni nyati joni ?
Hapo umenena, hakuna zaidi ya maombi Mkuu, hali ni mbaya kila kona ya nchi
Maombi yanaitajika kama taifa,Nyati nao wanakufa kwa njaa na kiu"Ukame"Mungu atusaidie.Nyati si mnyama wa kushikwa makalio na pembe atulie.Wapo hoi.
Because it doesn't want to hear a thing about the existing catastrophe.Drought isn't a man made catastrophe, why then throwing your blames to the existing regime?
It is a big deal kwa sababu lile likil.aza lenu linakanusha kuwa hakuna ukame, angeongea kama wewe angeeleweka!Sio mara ya kwanza nchi kukumbwa na ukame. Labda wengi wenu ni watoto wa miaka ya 2000.
Sioni what's a big deal!