C Copy1 Member Joined Feb 10, 2016 Posts 96 Reaction score 143 Jun 16, 2016 #101 Bavaria said: Domo asipoangalia 2014 unaweza kuwa mwaka wake mbaya sana. Atapotea Click to expand... Imagine reading this in 2016 na Dogo badoo ndo kunakucha, ndo kwanza ameanza safari mpya ya kuipaisha label yake
Bavaria said: Domo asipoangalia 2014 unaweza kuwa mwaka wake mbaya sana. Atapotea Click to expand... Imagine reading this in 2016 na Dogo badoo ndo kunakucha, ndo kwanza ameanza safari mpya ya kuipaisha label yake
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,972 Reaction score 34,278 Jun 17, 2016 #102 Copy1 said: Imagine reading this in 2016 na Dogo badoo ndo kunakucha, ndo kwanza ameanza safari mpya ya kuipaisha label yake Click to expand... #Kataa_Roho_za_Kichawi.
Copy1 said: Imagine reading this in 2016 na Dogo badoo ndo kunakucha, ndo kwanza ameanza safari mpya ya kuipaisha label yake Click to expand... #Kataa_Roho_za_Kichawi.
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,264 Jun 17, 2016 #103 warumi said: Muonekano mpya (pichani) Wa mwanamuziki Wa kizazi kipya, Diamond platnums aka baba ubaya. Click to expand... duuh
warumi said: Muonekano mpya (pichani) Wa mwanamuziki Wa kizazi kipya, Diamond platnums aka baba ubaya. Click to expand... duuh
buchenza Senior Member Joined Aug 24, 2012 Posts 190 Reaction score 67 Jun 17, 2016 #104 warumi said: Muonekano mpya (pichani) Wa mwanamuziki Wa kizazi kipya, Diamond platnums aka baba ubaya. Click to expand... Mbona picha sioni
warumi said: Muonekano mpya (pichani) Wa mwanamuziki Wa kizazi kipya, Diamond platnums aka baba ubaya. Click to expand... Mbona picha sioni
Heloo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,391 Reaction score 3,409 Jun 17, 2016 #105 Pichaa mbonaa siioni??au mid wametoaa warumii kama uliificha kwako.nitumie shost wangu.
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,809 Jun 17, 2016 #106 Huyo mwenyewe 2014 ameenda na maji, hatunaye tena,
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,639 Reaction score 1,799 Jun 18, 2016 #107 Kama mnadhani mungu huwa anakosea kuumba nadhani utakua wa kwanza kukashifu uumbaji wa mungu.Na pia kama wewe c mgumba fumba mdomo alafu muombe mungu radhi kwa hizo kufuru zako.
Kama mnadhani mungu huwa anakosea kuumba nadhani utakua wa kwanza kukashifu uumbaji wa mungu.Na pia kama wewe c mgumba fumba mdomo alafu muombe mungu radhi kwa hizo kufuru zako.