Hiki ndicho kinachowaogopesha magamba, hawawezi kujishusha kuwa watumishi wa watu waliowachagua na kuwaweka madarakani. Wao ni waamrishaji, na ukipingana nao kwa lolote lile, hata kama ni haki yako basi unaitwa mbishi na unatakiwa upate mkong'oto! Na ukiuliza kwa nini mnanipiga unasotekwa ndani...
Endelea jembe letu, safari ni hatua, watatufanyia kila baya lakini kwa wingi wetu tutafika...