Hakuna malipo ya mwezi utalipia Tsh.80,000 kila mwaka.Na je ukiweka hiyo system unailipiaaa kila mwezi
shushushu VIP
Hicho kifaa tuna ficha ndani ya dashboard ya gari yako ni kidogo sana sio rahisi mtu kugundua kama umefunga hicho kifaa. Gharama ni Tsh.400,000 ada ya mwaka Tsh.80,000 device na system ni kutoka urusi sio china.Toa maelezo basi.. Unaweka vipi? Na gharama zake, hivi kwnn matangazo ni kazi ngumu sana nyie binadamu?
Hicho kifaa tuna ficha ndani ya dashboard ya gari yako ni kidogo sana sio rahisi mtu kugundua kama umefunga hicho kifaa. Gharama ni Tsh.400,000 ada ya mwaka Tsh.80,000 device na system ni kutoka urusi sio china.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti nikubwa sana kwanza kina dumu kwa muda mrefu pia pia uwezo wa kurecord kwa muda mrefu kama gari itapita sehemu hakuna network. System yao inaonesha vitu vingi kwa wakati mmoja kama real time location,street address,speed,parking duration,working hours and mileage,google satellite,engine cut off vyote hivyo utapata katika mobile app yetu. Karibu sanaHongera kwa kazi nzuri, ila najiuliza kwani kifaa kutoka Urusi ni sifa zaidi kiongozi?
Hicho kifaa tuna ficha ndani ya dashboard ya gari yako ni kidogo sana sio rahisi mtu kugundua kama umefunga hicho kifaa. Gharama ni Tsh.400,000 ada ya mwaka Tsh.80,000 device na system ni kutoka urusi sio china.
Sent using Jamii Forums mobile app
amaHuu ndio mfumo wa kisasa utaweza kutrack gari kupitia simu yako kwa bei poa
Email:ejngalewa500@gmail.com
Phone:0764818022
View attachment 576742View attachment 576743View attachment 576744View attachment 576746
:View attachment 576741
Sent using Jamii Forums mobile app