MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,238
- 50,416
Huyu dogo sio mchezo, amejiandaa, yaani kama Trump anajiamini na kulianzisha basi ategemee dunia haitabaki tuionavyo. Kwanza Kim keshasema vita vikianza atatumia kila aina ya silaha aliyonayo na kuelekeza kwa kila atakayemshuku kuwa adui yake.
Hiyo ina maana anaweza kujitoa ufahamu na kuelekeza mizinga kwenda hata Japani, Koreas Kusini na hata aamue kama mbwai mbwai na kurusha Uchina na Urusi kusudi kuwaburuza kwenye mzuka maana walifaa kumlinda, mbona waachie apokee kipigo.
Kim oversees North Korea display of military strength