Picha: Lowassa Visitation kilio cha baba yake ROSTAM AZIZ

Allah amuhifadhi mahali salama, mzee wa FastJet kama kawaida yake anamalizia kutembea Dunia angekuwepo hapo kisutu
 
Misiba bhana, ina mambo mengi, huwafanya "marafiki wa sirini" kulazimika kuwa "marafiki wa hadharani"!!!! Ninatafakari tu!!!
 
Misiba bhana, ina mambo mengi, huwafanya "marafiki wa sirini" kulazimika kuwa "marafiki wa hadharani"!!!! Ninatafakari tu!!!
tafsiri zingine sio nzuri. tafadhali suala la msiba acha libaki la msiba tu na sio kuingiza mambo mengine ya kufikirika. wewe unafikiria siasa tu.
Rostam ameshawahi kuwa kiongozi mwandamizi ccm tena akiwa mweka hazina kuanzia mkapa mpaka kikwete. be careful
 
Labda ungesema tafsiri sio sahihi kwa kuonesha makosa yake! !!!!!!
Mkuu hizo picha unaachaje kuzihusianisha na siasa????!!!
 
Lowasa akishinda Urais Kigwangala ahame nchi, maana adui yake Bashe yuko bega kwa bega na Lowasa.!
 
Labda ungesema tafsiri sio sahihi kwa kuonesha makosa yake! !!!!!!
Mkuu hizo picha unaachaje kuzihusianisha na siasa????!!!
kwenye huo msiba Hata Prof. Lipumba, Mbowe na Dr. Slaa wanaweza kwenda tu. sasa sijui na hapo utasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…