Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Rim hazitoki Kenya. Zinatoka south na China. Kenya wana crown. Mondi rotatrim brand ya south.
Lowasa hana mpinzani,kila kona lowasa lowasa
Duh mnazidi kuwachanganya ccm!
Chama cha maficcm tupa kule CHADEMA ndiyo habari mujiniUkawa kwanza chama cha familia badae
Siyo kila kona tu yaani uwanja mzima mpaka kwenye penalt box ( Ikulu ) ni nyomi kwenda mbele. Popote alipo watanzania tupo naye.Kila kona ni nyomi........tar 25 napaona mbali kweli.