Huku CCM inazidi kupotea kabisa kila kukicha toka kampeni zianze. Kila watu unaokutana nao wanasema Lissu Lissu Lissu, kura zetu ni kwa Lissu kila mtu njiani anasema
Najua gunzi linakupa raha endelea kupata stopper na kutekenywa 2 in 1 ndio ulevi wako ndio maana unapakumbuka mafiata maana ndio waliokuanzishia hiyo dozi
Hata waibe kura vipi hawatazimaliza. Lissu tayari ni rais wa nchi hii. Na wasirogwe wajaribu kuiba, watakiona cha mtema kuni. Najua kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni, sasa acha wajaribu.