Picha kwa wale ma agent deep cover toa tathimini

Picha kwa wale ma agent deep cover toa tathimini

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,008
Reaction score
28,342
Yaani hapa anatafutwa mbaya
FB_IMG_1525243256216.jpg
 
Polisi hadi Leo wanahangaika Na uchunguzi wa masheikh wa uamsho Zanzibar, mwaka wa tano upelelezi haujakamilika
Haaaa mkuu ile ni mbinu ya kiintelegesia ya kuendelea kuwashikilia lakini hamna kesi pale wanashikiliwa hivyo ili umri wao nao usogee
 
Namba 3# : why? Because ndiye mwenye access na vyoo vya kike, halaf wakati wenzie wote hotelin wanakula, yeye kuna kitu anawaza? (It can be anafikiria kama mtu wake ameshakufa)
 
Ni namba 3 kwasababu zifuatazo

Kwanza ni msichana so aneza kuingia kwenye choo chak kike kama ilivyo alama kwenye mlango chooni

Pili Walikuwa wako kama wawili mana kiti ambacho kiko mbele yake kinaonesha kilikuwa na mtu mana kitu ambacho hakina mtu huwa kina ingizwa ndan ya meza

Tatu twasira yake ukiangalia kwa makin kuna hal ya kutokuangalia kama hayuko na amani
Kidogo umejitahidi
 
Back
Top Bottom