HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,548
- 95,046
Ngoja mtandao ukae vizuri naiweka,ACT mpunguze kihere here musoma siyo mwandinga
Nimeiona hiyo iliyowekwa na Exaud Mtei
Sasa wewe tueleze yako ni ipi kama si hiyo
Ngoja mtandao ukae vizuri naiweka,ACT mpunguze kihere here musoma siyo mwandinga
Kuna picha ya Video anavyozomewa ila hapa Jf haikubaliki
CDM hawawezi siasa safi hata siku moja.
Ukiona hiyo video kuna mtu anamwambia mwenzake rekodi rekodi....
Afu anaerekodi anawaambia imba imba.
Na yupo mhamasishaji hapo mara nani kaolewa..... nani sijui bla bla.
CDM hii nchi hamtaichukua maana siasa zenu si nzuri kabisa
Halafu mvuta bange wa Arusha Lema ndio anaipigia debe hiyo video ya mataahira ya Bavicha
Nimeiona hiyo iliyowekwa na Exaud Mtei
Sasa wewe tueleze yako ni ipi kama si hiyo
Pole sana kama haujui kuna video mbili moja ni siku ya mkutano wa CHADEMA wananchi baada ya mkutano wa mnyika walifanya maandamano huku wakimuimba zitto msaliti hii ndo umeiona,na ya pili ni siku zitto akuhutubia alizomewa hii nayo nitaiweka hapa.
Zitto anapendwa sana na Watanzania
Bro just PM me unipe whatsapp nitakupa video uone .Mimi sina ushabiki wa kijinga na hili nimeliona .
Zitto anapendwa sana na Watanzania
Mimi sina ugomvi na Zitto wala ACT Cahama . Lakini mimi nimena video watu wakizomea na kusema Zitto latukana na wanatawanyika. Video zipo nasikia na kuona watu wanaishia mengine nawaachia walio kuwepo . Tafuta video au omba msaada wa video wataweka hapa .
Na huna ushahidi ata wa picha?magari zaidi ya 30 yakimzunguka ZItto kumlinda?kweli Chadema sasa imebaki kuwa chama cha uongo na propaganda.
Zitto alivyo ona hali inazidi kuwa ngumu aliweza kushuka chini nakupewa Ulinzi na mabaunsa aliokuja nao katika msafara wake zaidi ya 30 wenye mwili mkubwa na huku wananchi wakizidi kusema huenda akakosa hata ubunge katika uchaguzi ujao.
Tuweke siasa kando, hiyo video iko moja tu huko youtube na haijaonesha Zitto. Bali ni wafuasi wa CDM wakikimbia na kuzomea
CDM wamechanganyikiwa hadi wanaambia watu warekodi ili tu waweke youtube. Hawaoni aibu kuwa hiyo video haijarekodiwa kwenye mkutano au hata uwanja wa mkendo.
Siku watu wakijielewa hakika mtapoteza kila mbunge wenu
Zitto anapendwa sana na Watanzania
Hebu soma vizuri wewe...