Wadau naombe ni kujua, simu yangu ninapofungua jf ili kuona picha kinachokuja ni hiki hapa kwenye picha, nime uninstall na ku install lakini wapi, tazizo liko pale pale, je nifanyeje?
Wadau naombe ni kujua, simu yangu ninapofungua jf ili kuona picha kinachokuja ni hiki hapa kwenye picha, nime uninstall na ku install lakini wapi, tazizo liko pale pale, je nifanyeje?View attachment 2835362
jf app ni kama nyumba iliyohamwa na unaofahamu walikuwa wakikaa humo.
umeenda umekaa nje unasubiri watakukuta unashangaa masaa yanaenda tu.
hawaipi support tena wamehamia jf web,huku ni swala la muda tu,itaanza kukataa hata kufunguka.
tuko huku sababu ni rahisi kuitumia na ina mvuto ukilinganisha na interface ya web.