Anza kutuma naanza kukupa tafsiriUwe unatutafsiria basi maana wengi hatuvielewi🤣
Eti mbona kimya?Hivi nani anataarifa kuhusu hili jambo zito linalo endelea huko Mbeya?
Maana kuna tetesi eti uliokotwa huku Kawe, lakini nikama kuna maelekezo yametolewa na ghafla ukimya ukatamalaki.
Air Tz inakata tuu mbuga jangwani...ilikua Misri mara iko Morocco
Inasikitisha sana mkuu...😥Eti mbona kimya?
In Trumps voice shit...
Kwa ujazo/ukubwa uleule vya kutoka nje ya nchi ni rahisi kuliko vinavyotengenezwa ndan ya nchi.
Usipoziba ufa utajenga ukuta
Mashirika mengi ya usafiri wa ndege chini ya jangwa la sahara ni ngumu sana kuyaendesha.
Baada ya kukosa wa kumshambulia imebidi wazipige wao kwa wao.
June tutaona mengi yasiyo mazuri
CDM Pamekuwa hapaeleweki