Mhe. Jussa akiongea na wanaDMV Katibu wa CHADEMA DMV Liberatus Mwang'ombe akiongea kusisitiza jambo Aliyekuwa makamu wa Rais DMV Bwn. Ray Abraham akiuliza swali. Meza kuuu Katibu mwenezi na Itoikadi CCM DMV akiuliza swali Bishop Martulu akiongea jambo. Picha na Tito Mazali
Watanzania waishio DMV(Washington DC, Maryland na Virginia) wakimsikiliza Mh Ismail Jussa alipohutubia katika mkutano uliondaliwa na Muungano wa Vyama vya CUF na CHADEMA Marekani.
Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV, walioka meza kuu wakanza kushoto Katibu wa Tawi la Chadema DMV Liberatus "Libe" Mwangombe, akifuatiwa na Mwenyekiti wa Tawi la Chadema DMV Mhe. Kalley Pandukizi, Shamis Alkhatry CUF pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la kina mama CHADEMA DMV Bi Baybe Mgaza.