Hahahahaaha......enzi ya chama kimoja wagombea walikuwa wakihusudu sana jembe. Maana kuipata tu hiyo alama tayari 50% unayo. Sasa leo wamegawana, huyu nyundo yule jembe....
jembe tumechukua kuchimbia kaburi,,,,,,nyundo tutaifata baadae kugongea misumari ya jeneza ili shughuli ya mazishi👊👊👊👊👊👈👈👈👈👈👈👈👈👈👈
cjui cku pombe akimalizia sentence ya "Nitailinda,nitaitunza na kuitumikia jamhuri ya muungano wa Tanzania,Ee mwenyezi mungu nisaidieni"Akimalizia sentensi hivyo cjui him NDANI utakuwaje.