Nacho ona serikali ita wakumbatia kupitia rufaa mpaka 2025, wakikubali kwamba ni batili kuna kanuni nyingi sana za bunge zita kiukwa. Na kuna pesa nyingi wata kosa kama bunge wakilishi la wana nnchi.
Hii ndio kesi inayowadharirisha waendesha mashtaka wetu,haina maamuzi wala nini ,yaani ni nenda rudi kama daladala kesi ya Kenya ya juzi imeisha ndani ya muda mfupi hii bado inatembelea mkongoji